Lishe Duni, Epijenetiki na Magonjwa Yasioambukiza Ukubwani.
Je, kuna uhusiano wa lishe duni kwa mtoto aliye tumboni na magonjwa yasioambukiza kama vile kisukari, shinikizo la damu, kansa na kufeli figo ukubwani?
Kubwa zaidi ni sumu ambazo zinapatikana katika maisha ya kila siku kuingia mwilini. Kundi baya zaidi ni kundi la sumu zinazovuruga mfumo wa homoni mwilini (hormone disruptors).
Mabadiliko ya lishe ni kuhama/kubadilika kwa tabia mlo, mpangilio wa chakula na kiasi cha nishati kinacholiwa na mtu. Hii hali inategemea mabadiliko ya kiuchumi, demografia na kiepidemiolojia .
Many of us lie at some point in our lives. Unfortunately, we might have lied to our doctors or medical practitioners about our symptoms, their onset, and their nature before knocking at their door.
Malaria: Visababishi, Dalili, Jinsi ya Kujikinga na Matibabu
Je, unajua malaria inasababishwa na nini? Je, unajua kimelea cha malaria kiingia mwilini kinafanya nini au kinasababisha vipi hali ambayo mgonjwa anajisikia?
Je, unatamani kushika ujauzito? Au uko kwenye safari ya kushika ujauzito, kupandikiza mtoto (IVF) au kupata mimba kwa njia asilia? Unafahamu kuhusu ubora wa yai (egg quality)?